Chuo cha Serikali za mitaa kimeendelea na utoaji wa mafunzo ya Mfumo wa Fursa na Vikwazo kwa Maendeleo ulioboreshwa (improved O&OD) kwa vikosi kazi (Council Task Force - CTF) vya halmashauri ya Manispaa ya Singida na hamlashauri ya jiji la Mbeya. Mafunzo haya yalifanyika katika hotel ya Regency-Singida Tar 05 hadi 07 Juni, 2023 kwa ufadhili wa shirika la Helvetas - Singida chini ya mradi wa 'Sauti na Nafasi'.